top of page
Shirika la wa kongomani wa Iowa na kituo cha uponyaji
UJUMBE

Tunajitahidi kuwawezesha wa Congomani wa Iowa ya katikati kwa kuunda nafasi ya uchumi wa kutambua uwezo wao na kwa wote kuishi kwa heshima.

MAONO

Mahali ambapo wa Congomani wa Iowa ya katikati wana maana ya kuunda nafasi ya uchumi wa kitambua uwezo wao na kwa wote kuishi na heshima.

Shirika la wa kongomani wa Iowa na kituo cha uponyaji lina kusudi la kuwasadia wa kongomani wa Iowa ya katikati kupona, kuelimisha, kutetea, na kutunga huduma zinazo ongeza nafasi za kiuchumi.
HEALING

I'm a paragraph. Click here to add your own text and edit me.

EDUCATION

I'm a paragraph. Click here to add your own text and edit me.

ADVOCACY

I'm a paragraph. Click here to add your own text and edit me.

KUPATIA WA KONGOMANI JAMII YA MSAADA KATIKA DES MOINES, IOWA

Shirika la wa kongomani wa Iowa na kituo cha uponyaji linawezesha wa kongomani wote wa Des Moines kusaidiana kila mmoja, kuwakaribisha wageni, na kuchangia habari zawo na watu wote wa Iowa. Kupitia programu ya “HEAD”, ICOACH inawapa watu huduma za muhimi za kuendelea mbele hapa Des Moines.

UPONYAJI
 • Kusaidia familia ambazo ziko namajeraha ya shida zilizo sababishwa na vita, vurugu, na unyanyasaji wa nyumbani.

 • Kudhibitisha hisia – Kusaidia familia kujibu tamaduni kwa njia nzuri.

 • Kusimamisha shida – kuwasaidia watu kudhibiti kiwango cha matatizo yao yanayosababishwa na mshtuko wa utamaduni.

 •  Kurekebisha utamaduni mpya - kuwasaidia watu kuweka akili wazi wakati wanajaribu kuishi utamaduni mpya.

UTETEZI
 • Matatizo ya nyumba – Kusaida familia na watu kipekee kupata nyumba bora na zilizo na garama nzuri

 • Matatizo ya afya – kusaidia watu kutatua vikwazo vya lugha na utamaduni ili watu waelewe mzuri mfumo wa marekani kuhusu afya.

 • Masomo - Kutoa fursa za elimu na rasilimali zinazopatikana katika shirika zengine.

 • Usafiri - Kuhakikisha kuwa watu wana njia ya kuzunguka jiji la Des Moines kutoka na kwenda kazini, shuleni na uteuzi.

KUFUNDISHA
 • Kuwafunza watu wazima kompyuta - Kuwafundisha watu wazima jinsi ya kutumia kompyuta kama njia ya mawasiliano.

 • Kufundisha watu kuendesha gari - Kusaidia familia za wa kongomani kupata kibali ca kuendesha na kuwafundisha jinsi ya kuendesha gari.

 • Kufundisha Kiingereza kama lugha ya pili

 • Soma - Kusaidia watoto kujifunza jinsi ya kusoma vitabu

 • Mwongozo wa rasilimali – Kuwasaidia watu kuelewa nini tayari katika shirika zingine na jinsi wanavyoweza kuipata.

MAENDELEO
 • Kwa Vijana – kuwapatia vijana mwelekezo wa maisha hapa marekani, nafasi ya kujifunza, pia na shughuli tofauti.

 • Kwa Wazazi – kuwapatiya wazazi mwelekezo wa makuishi marekani na rasilimali pia kuanzisha mpango wa kushona  kwa wanawake.

 • Ushirikiano wa shirika zingine – Kufanya iwezekanavyo ili  tushirikiyane na shirika zingine kushughulikia masuala yanayo athiri wakimbizi.

 • Ufafanuzi wa Fedha - Kuwasaidia wakimbizi kuwa na uwezo wa kufikia kiwango cha kujitegemea kiuchumi. Kuwafundisha jinsi ya kutumikisha pia na kuchunga pesa

HUDUMA ZA KILA SIKU
 • Usomaji wa mabarua – kusoma barua  na kuyitafsiri kwa usahihi

 • Usafiri – kutoa usafiri wa kwenda na kutoka kazini pia na uteuzi.

 • Ku tafsiri – Kuwa tafsiria watu shuleni, hospitali, na pengine………..

 • Kazi – Kutafuta kazi, kusaidia kujaza fomu ya kazi, kusaidia watu kwa mahojiano ya kwanza wakitafuta kazi, na mengineyo.

 • Uteuzi – kuwawekeya watu na kubadirisha uteuzi,  kusaidia watu usafiri kwenda na kutoka kwa uteuzi.

 • Kusaidia kujaza ingine makaratasi yote isipokuwa nyaraka za kisheria.

bottom of page